Ua Ama Ufe

Par : Hassan Mambosasa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8232441098
  • EAN9798232441098
  • Date de parution20/07/2024
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurHamza elmir

Résumé

 Baada ya kufanya kazi za upelelezi wa muda mrefu, akihusika na mambo yanayohusiana ndani ya nchi ya Tanzania. Tatizo kubwa lilitokea, ni baada ya kufika taarifa ya usaliti wa jasusi mmoja wa EASA aliyetorokea jimbo la Juba kusini mwa Somalia.   Taarifa inasemekana alimjeruhi mwenzake vibaya, ambaye alitibiwa na kupona na alibaki nchini Kenya akiendelea na kazi zingine. Wakati huyo msaliti akiendelea kujichimbia nchini Somalia.    Inaandaliwa  operesheni, aliyotakiwa mpelelezi mmojawapo atumwe kwenda huko.
Huyo aihitajika kufika mjini Lamu aonane na jasusi aliyejeruhiwa, ambaye angekuja kumsafirisha kwa kutumia watu wake kwenda Juba. Huko wangekuja wapelelezi wengine ambao wangeigiza kama wanamgambo, hao wangemteka na kumfikisha kwenye kundi mojawapo la wanamgambo huko ndiyo angefanya kazi yake.    Shirika lilimteua Norbert Kaila kushikilia jukumu hilo, ambaye aliondoka nchini Tanzania kwa mujibu wa itifaki ilivyo.
Ila mambo yanakuja kugeuka baada ya kufika nchini Somalia. Huko anatekwa kibaya zaidi wanaofanya kazi hiyo ni majambazi kamili wa kundi mojawapo, na si wale wenzake ambao walipangwa kufika huko.  Watekaji waliwahi mapema kabla ya majasusi wengine, walitimiza jukumu hilo, mwisho wake ikaja kuwa tatizo kubwa kwa EASA. Norbert Kaila aliwekwa nguvuni, inampasa kujiokoa na kuendelea na misheni yake.

Mpasuko
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi-3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Maji Marefu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Utazitapika
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ukomo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Ya Harusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Fright
Hassan Mambosasa
E-book
4,49 €
Fadhaa
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Forever You Will Live
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Zimwi letu
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Kutoka Gaza
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Operesheni Nyeusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Sura Mbili
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Kasiba
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
B. A. B. U
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Tegre Solitario
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Lonely Tiger
Hassan Mambosasa
E-book
1,99 €
Jumba Bovu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Kisanga
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Pesa Zangu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €