- Accueil /
- Hassan Mambosasa
Hassan Mambosasa

Dernière sortie
Ligi ya Mabilionea
Uhasimu baina ya watu wawili wenye pesa na ushawishi mkubwa sana, ndiyo ulikuja kugeuka na kuwa maafa ambayo yalihusisha wengine ambao hawakutakiwa kuwepo. Vifo na hasara nyingine za kila namna zikaibuka baina ya watu wa wenye vipato vikubwa. Wapo ambao walikuwa ni wahanga wa uhasama huo, wakajikuta wakihisi huenda ni adui yake kibiashara aliyemfanyia unyama huo. akataka kujaribu kulipiza kisasi.
Akajikuta akimhusisha mwingine wala hakuwepo kutokana na kutokuwa makini. Mwishowe maadui wapya kuongezeka na wengine wenye adui mmoja kujikuta wakiungana dhidi ya mwingine. Ikawa ni LIGI YA MABILIONEA, Hujuma na usaliti vikiwemo humo mpaka ikavuta umakini wa wanausalama. Masalia ya maadui ndani ya visa viitwavyo GADI, RALOND NA DESMOND na SURA MBILI. Yakaja kuibuka huku waliyodhaniwa kuisha kubainika nao bado wapo.

Les livres de Hassan Mambosasa

3,49 €

2,99 €

3,49 €

3,49 €

3,49 €

3,49 €

2,99 €

2,99 €

2,99 €

2,99 €

3,49 €

3,49 €

2,99 €

4,49 €

3,49 €