Hatari! Hatari ipo mbioni kulivaa jiji la Dakar makao makuu ya nchi ya Senegal. Si hilo tu bali hata Afrika nzima haiwezi kuwa salama kutokana na janga hilo. Si huko tu bali hata Ulaya hasa nchini Ungereza na UK kwa ujumla wasingebaki salama. Hakuna upande ambao upo tayari kuona jambo hilo likitimia. Si huku Afrika kwa EASA wala Uingereza kwenye shirika la ujasusi la nchi. Wanajikuta wote wakituma majasusi ndani ya ukanda wa Afrika ya mashariki.
Wakiwa na lengo la kumpata mhalifu na kuzuia mpango mzima. Kundi moja la majasusi lina taarifa sahihi, jingine halina na limepewa siyo ila hawakurudi nyuma kwenye operesheni hiyo. Mwishowe ikabidi wote waje kuungana baada ya kuchuana mara kadhaa kwenye uchunguzi. Mapya yaliibuliwa na walipambana kwa dhati kudhibiti hali yote kwa ujumla.