Bazazi.

Par : Hassan Mambosasa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8233223747
  • EAN9798233223747
  • Date de parution24/01/2026
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurLinda Balsamo

Résumé

Ndoa ya kijana msomi wa chuo kikuu inaingiliwa na jinamizi, mke ambaye naye ni msomi aliamua kuangukia mikononi mwa kijana wa Waziri. Licha ya kumuoa kwa ndoa halali, bado aliporwa na mwanamke kuishi kwa mwanaume mwingine.    Familia ya kijana ni masikini ilishindwa kumsaidia kwenye janga hilo, familia ya binti inaishia kumgeuka na kuungana na bwana mpya baada ya kuhongwa pesa nyingi. Kijana alibaki hana msaada, haikuchukua muda mrefu alipata ajali isiyoeleweka na kutangazwa kafariki.    Ndugu walipotaka kufanyiwa uchunguzi mwili wake, polisi nao waliamua kuingilia matokeo walizuiwa kuuosha mwili.
Walipewa ukiwa umeoshwa na kuvishwa sanda, waliamriwa kuuzika pasipo kufanya ibada ya kumuaga kwa mujibu wa dini yake. Jambo hilo lilifanyika na ikapita juma moja, ndiyo hapo barua ikaja kufika mezani kwa Norbert Kaila. Mwananchi akisimulia kuhusiana na hilo, akiomba msaada kutoka kwake kama mwandishi wa habari..    Norbert Kaila aliingia kazini, na hapo ndiyo yalibainika mazito kuhusiana na kifo cha kijana yule.
Ambacho hakikutokana na wivu wa mapenzi kama wengi walivyohisi. 
Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 
Courier of Mogadishu
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
In The Crosshairs
In The Crosshairs
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Ralond na Desmond
Ralond na Desmond
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Upepo
Upepo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Mkuu wa kaya
Mkuu wa kaya
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Mzandiki
Mzandiki
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
MILELE UTAISHI
MILELE UTAISHI
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ligi Ya Washenzi
Ligi Ya Washenzi
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Yako
Siku Yako
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mpasuko
Mpasuko
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi-3
Nsungi-3. NSUNGI, #3.3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Maji Marefu
Maji Marefu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Utazitapika
Utazitapika
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ukomo
Ukomo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Ya Harusi
Siku Ya Harusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Fright
Fright
Hassan Mambosasa
E-book
4,49 €
Fadhaa
Fadhaa
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €