Nsungi-3. NSUNGI, #3.3

Par : Hassan Mambosasa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8232322588
  • EAN9798232322588
  • Date de parution21/09/2025
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurDraft2Digital

Résumé

Yuleyule wasiyempenda amerejea, akija na nguvu na tumaini jipya. Lengo ni kufanikisha kusimamisha utawala wake. Aone dunia ikiwa chini yake, wanadamu wote na viumbe wengine wakimtumikia. Huku Nsungi akiwa malkia wake, aishi na kufanya  yale ayatakayo.  Mpango wake unaletwa na tumaini jipya, la uwepo wa nguvu ya ajabu sana. inayoweza kuhatarisha usalama wa dunia ikiwa itakuja kuangukia mikono mibaya.
Hiyo ndiyo pekee anayoiota kuipata, toka kwa mtu ambaye aliishikilia. Akiamini wazi ni tumaini lililobaki la kufanikisha lengo lake.  Wapinzani wake na wanaotaka kuona dunia ikiwa sehemu salama. Asiyetakiwa kutawala asiweze kushika uongozi wake. Nao wanashtuka hila zake mpya, wanaamua kupambana naye. wakiazimia kufanikisha mpango wao. Ulimwengu mzima ubaki salama. Kila kiumbe abaki utawala unaomhusu, na asihatarishe maisha ya wengine.   Lifa huyo asiyejua kama kuna msamiati kushindwa, wala kutokuwa na tumaini.
Kiumbe wa kijini aliyeishi miaka mingi duniani, aliyekuwa na ndoto isiyofanikiwa kila uchwao.
Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 
Courier of Mogadishu
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
In The Crosshairs
In The Crosshairs
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Ralond na Desmond
Ralond na Desmond
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Upepo
Upepo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Bazazi.
Bazazi.
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mkuu wa kaya
Mkuu wa kaya
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Mzandiki
Mzandiki
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
MILELE UTAISHI
MILELE UTAISHI
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ligi Ya Washenzi
Ligi Ya Washenzi
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Yako
Siku Yako
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mpasuko
Mpasuko
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Maji Marefu
Maji Marefu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Utazitapika
Utazitapika
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ukomo
Ukomo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Ya Harusi
Siku Ya Harusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Fright
Fright
Hassan Mambosasa
E-book
4,49 €
Fadhaa
Fadhaa
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €