Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza. Elimu ya juu aliipata chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta. Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni.
Ukomo
Par :Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
, qui est-ce ?Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- FormatePub
- ISBN8231003174
- EAN9798231003174
- Date de parution21/08/2025
- Protection num.pas de protection
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurWalzone Press
Résumé
Maisha ya Eliza yanaingia mashakani, baada ya kuhisiwa ana mahusiano na bosi wake. Anasakwa kila kona na mzazi mwenza wa bosi, aliye na kawaida ya kumfanyia unyama kila mwanamke aliye karibu na mwanaume yule. Asijali kama waliachana na hatakiwi. Woga wa kuhisi angeondolewa uhai, sambamba na hamu ya kutaka kupambania maisha yake. vinafikisha hofu yake kwenye ukomo, badala ya kuogopa inageuka kuwa ukatili.
Aliyotakiwa kuwawinda inabadilika yeye ndiye anayewawinda, tena kimya bila sauti tena kwa kuvizia kama chatu. Mwishowe inageuka mshike damu inamwagwa bila huruma. Norbert Kaila naye aliyekuwa akifanya kazi kuchunguza uovu wa mzazi mwenza wa bosi wa Eliza. Alijikuta akipewa jukumu jingine, akitakiwa kuhakikisha binti anabaki salama. EASA walimhitaji kwa kuona upeo wake na ujasiri ule. Ni UKOMO