Iam Tanzanian author, I was born in Tanga city in Tanga region in Tanzania. I wrote different novels such as:KIDUDUMTUWITO WA KUZIMUDHAHAMASHUJAATENDAGURUJINAMIZI
Upepo
Par :Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
, qui est-ce ?Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- FormatePub
- ISBN8235662902
- EAN9798235662902
- Date de parution07/05/2026
- Protection num.pas de protection
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurIoakim Ioakim
Résumé
Furaha kubwa kwa Tanzania, tatizo la upandaji bei mafuta na pia shida ya uagizaji wake. Baada ya kutangazwa na kusainiwa mkataba wa ujenzi wa boba la mafuta. Kuanzia Afrika ya kaskazini kwenye visima mpaka Kagera. Kisha kungekuja kujengwa kiwanda kikubwa cha kuchakata mafuta. Mpango unapotimizwa muda ambao jeshi lilikuwa likisherekea kwa kufanya operesheni moja matata. Kupambana na waasi waliyovamia mpaka na waliweza kufanikisha.
Wasijue ulikuwa ni mtego mbaya sana waliuingia, mtego ambao uliandaliwa na kuja kuachiwa video ya kutengeneza iliyoharibu hadhi ya nchi, mpaka vikwazo vya kiuchumi. Yakiendelea hayo Norbert Kaila anashikwa na gonjwa la ajabu, maumivu ya kichwa na kutokwa damu puani. Baada akija kupewa huduma hakumbuki kama aliugulia maumivu hayo. Inambidi kunywa dawa za kutuliza, ilimradi aweze kufanya kazi. Mwishowe inakuja kujulikana ugonjwa wake na yanayoendelea kuna mahusiano makubwa.