Wakulima wanadai haki zao, walizotakiwa kulipwa baada ya serikali kununu zao la korosho kipindi ambacho soko ni gumu. Ikabidi waje kulipwa baadaye na siku ambayo malipo yanatumwa likatokea jingine. Pesa iliyotoka hazina kwenda kufanya malipo si ile ambayo imefika. Ilitakiwa kulipwa bilioni hamsini za shilingi ya kitanzania ila imekuja kufika thelathini pekee. Iliyobaki haijulikani ilipo. Ikiwa ni uzandiki mkubwa uliyofanyika, usiyotakiwa kufumbiwa macho. Suala hilo linakuja kuangukia mikononi mwa EASA walipoamua kulichunguza na pia kumpatia jasusi wao wa kike, mwenye umakini kurudisha majibu ya sakata hilo na pia pesa zipatikane.
Safari ya hatari na ikibidi kuondoa maisha ya adui ili uishi, ndiyo ikaanzia hapo.