Mpasuko

Par : Hassan Mambosasa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8231703166
  • EAN9798231703166
  • Date de parution28/09/2025
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurWalzone Press

Résumé

Hali isiyo ya kawaida inatokea ndani ya EASA, baada ya majasusi wa wawili kuuana kwa mujibu wa taarifa zilizoletwa. Mmoja akiwa wa Tanzania na mwingine akiwa wa Kenya. Suala ambalo limetokea kwa namna uya utata sana, hata uchunguzi ulishindikana.  Kama inavyojulikana umoja wa Wakenya, wakiona mwenzao amekumbwa na hali fulani. Ndiyo ilipelekea uchunguzi kutofanyika, sababu wao walihitaji majibu na kueleza walishawasiliana na makao makuu ya Dodoma kutoa taarifa.
Ila bado mwenzao alipoteza maisha.  Mgogoro ukatokea EASA ikagawanyika kati ya waliyounga mkono Nairobi na wa Dodoma. Pia kukawa na kundi ambalo halifungamani na pande hizo mbili, wao walibaki kuwa tayari kufanya kazi na yeyote ndani ya Afrika ya mashariki kama operesheni yake ilihusu ulinzi na usalama wa ukanda.  Ikabidi ofisi ya CE ambaye hafungamani na upande wowote ule. Iteue jasusi mmoja kwenda kuchunguza.
Ilitakiwa arudi na majibu kuna jambo gani limejiri mpaka kutokea yale. Hapo ndiyo mapya yaliibuka usaliti ndani ya shirika ukihusika, pia uwepo wa kisasi ukachangia kutokea mauaji yale. 
Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 
Courier of Mogadishu
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
In The Crosshairs
In The Crosshairs
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Ralond na Desmond
Ralond na Desmond
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Upepo
Upepo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Bazazi.
Bazazi.
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mkuu wa kaya
Mkuu wa kaya
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Mzandiki
Mzandiki
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
MILELE UTAISHI
MILELE UTAISHI
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ligi Ya Washenzi
Ligi Ya Washenzi
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Yako
Siku Yako
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi-3
Nsungi-3. NSUNGI, #3.3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Maji Marefu
Maji Marefu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Utazitapika
Utazitapika
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ukomo
Ukomo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Ya Harusi
Siku Ya Harusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Fright
Fright
Hassan Mambosasa
E-book
4,49 €
Fadhaa
Fadhaa
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €