Balaa juu ya balaa mwishowe likazuia kizaazaa. Yote hayo yameanza baada ya kutokea ajali ya ndege ya ajabu. Zilitokana na kugongana baada ya moja kutumia njia ya kuruka ya ndege nyingine kutua. mwishowe ni ajali mbaya ilipelekea kutokee mlipuko. Hadi watu wakahisi ni mambo ya mabomu yamerudi Dar es salaam. Kumbe kulitokea usaliti mkubwa, uliyofanyika ndani ya EASA. Kwani ndege mojawapo ilibeba mhalifu mkubwa.
Aliyetakiwa kufikishwa makao yao, ila mambo yalikuja kubadilika baada ya tukio hilo. Inambidi CE kumpa kazi N001 kwa siri, achunguze Mkuu wa EASA tawi la Dar es salaam (CE) anasimamishwa kazi kiajabu, Norene ambaye ni sekretari wake yanamkuta. EASA imevamiwa! Ni SIKU YA HARUSI, iliyobeba hatima na ushindi wa wazalendo.