Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza. Elimu ya juu aliipata chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta. Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni.
Maji Marefu
Par :Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
, qui est-ce ?Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- FormatePub
- ISBN8232785802
- EAN9798232785802
- Date de parution13/09/2025
- Protection num.pas de protection
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurDraft2Digital
Résumé
Miaka kama kumi kupita toka waziri wa ulinzi auawe, huku muuaji kutojulikana alipo. EASA bado iliendelea kumchunguza, licha ya vyombo vingine kuachana nalo kisa ushawishi wa familia marehemu waliyotaka kulipa kisasi wenyewe. Alikuja kubainika yupo baada ya aliyemtuma hapo awali kujitokeza. Safari hiyo akitaka kumpa kazi nyingine ya kuua. Alipoishia kugoma na hapo akaanza kuwindwa yeye. Kwani aliyetuma alijua kulazimisha, hakujali hali yeyote ya mtu amri kwake ndiyo kila kitu. Akaja kuingia maji marefu, EASA wakamjua ila hawana namna ya kumkamata kisa ushahidi.
Huku aliyowaagiza nao wanamsaka walipoona ni muda mwafaka wa kulipiwa kisasi.
Huku aliyowaagiza nao wanamsaka walipoona ni muda mwafaka wa kulipiwa kisasi.






















