Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza. Elimu ya juu aliipata chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta. Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni.
Fadhaa
Par :Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
, qui est-ce ?Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- FormatePub
- ISBN8231253142
- EAN9798231253142
- Date de parution14/07/2025
- Protection num.pas de protection
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurWalzone Press
Résumé
Kiburi si uungwana, bilionea maarufu sana aliona eneo ambalo alilitamani sana kulitumia. Akipanga kujenga uwanja kwa ajili ya timu anayoimiliki, kusudi iendane jina lake na makao yake yalipo. Hapo ndiyo tamaa ilipomwingia kwa kuliona shamba kubwa, ambalo halikuendelezwa na kujengwa nyumba za kisasa, licha ya mji kutanuka. Kukabaki kuwa vilevile, katikati yake kukiwa na mti mkubwa sana.. eneo ambalo lilimfaa hasa kujengea uwanja wa kisasa wa timu, sababu lipo mahali pazuri. Alijaribu njia ya kawaida ya kutaka auziwe, ila wamiliki waligoma na kumwambia halitakiwi kuuzwa.
Ulikuwa urithi toka enzi, ikitakiwa kubakishwa hivyo kwa vizazi hadi vizazi. Pia wakitakiwa kuumwagia mji mti mkubwa kila atakayesimamia. Utamwambia nini mwenye mambo ya kisasa kuhusu mila? Ndiyo hapo bilionea akatafuta watu ambao waliamua kutumia mbinu chafu kulipata eneo hilo. Wakaishia kuukata mti ule na kujenga uwanja wa kisasa. Ila baadaye walikuja kujuta na kutamani muda urudi nyuma
Ulikuwa urithi toka enzi, ikitakiwa kubakishwa hivyo kwa vizazi hadi vizazi. Pia wakitakiwa kuumwagia mji mti mkubwa kila atakayesimamia. Utamwambia nini mwenye mambo ya kisasa kuhusu mila? Ndiyo hapo bilionea akatafuta watu ambao waliamua kutumia mbinu chafu kulipata eneo hilo. Wakaishia kuukata mti ule na kujenga uwanja wa kisasa. Ila baadaye walikuja kujuta na kutamani muda urudi nyuma






















