Shuhuda

Par : Hassan Mambosasa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8230977629
  • EAN9798230977629
  • Date de parution01/06/2018
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurIndependently Published

Résumé

Wanafunzi wa chuo wakiwa ndani ya mbuga ya wanyama ya Mkomazi, iliyochukua eneo la mkoa wa Tanga na Kilimanjaro nchini Tanzania. Walitega kamera zao kwa dhumuni la kunasa matukio ya maisha ya wanyama, ikiwa ni kazi waliyoifanya kwa ushirikiano mkubwa.  Matokeo ni kamera zile hazikunasa matukio ya wanyama, bali ni jambo ambalo halikutakiwa kuonekana na yeyote. Si kudhihirika tu, bali hata kusikiwa tu na ambaye hahusiki nalo haikufaa.
Wenyewe hawakujua hilo hadi mambo yalipoanza kwenda mrama. Wanafunzi wale waliuawa na alibaki mmoja tu. Huyo aliponea kwenye tundu la sindano asije kumalizwa, baada ya kuokolewa na mtu ambaye baadaye alikuja kufahamu alihitaji sana. mwishowe ndiyo ikaja kubainika alibeba ushahidi wa tukio la mauaji ya mtu muhimu sana kwenye serikali lililonaswa na kamera zile.

Mzandiki
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
MILELE UTAISHI
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ligi Ya Washenzi
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Yako
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mpasuko
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi-3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Maji Marefu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Utazitapika
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ukomo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Ya Harusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Fright
Hassan Mambosasa
E-book
4,49 €
Fadhaa
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Forever You Will Live
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Zimwi letu
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Kutoka Gaza
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Operesheni Nyeusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Sura Mbili
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Kasiba
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
B. A. B. U
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Tegre Solitario
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €