Nsungi 2 - NSUNGI, #2.1 - E-book - ePub

Note moyenne 
 Hassan Mambosasa - Nsungi 2 - NSUNGI, #2.1.
  Lifa hajakata tamaa, baada ya kushindwa mpango wake zaidi ya mara moja, kisa uwepo wa Salmin Zultash. Anarejea kwa mara nyingine, akiwa na mpango kabambe,... Lire la suite
3,49 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

  Lifa hajakata tamaa, baada ya kushindwa mpango wake zaidi ya mara moja, kisa uwepo wa Salmin Zultash. Anarejea kwa mara nyingine, akiwa na mpango kabambe, uliyotokana na agano la zama lililofungwa miaka mingi sana iliyopita.   Historia ya kizazi kilichoingia agano hilo, inafunguliwa kwa upana. Viumbe hao wakiwa na ukinzani na wengine waliyotokana na agano. Maisha ya zamani yaliyojaa uhasama na ukatili wa kila namna.
Mauaji yakitendeka kwa kasi kubwa pale maadui wawili wakutanapo.   Napo enzi hizo kukawa na siri ambayo ilizikwa mbali sana, wenyewe waliizika waliingia agano la kufuta kumbukumbu zao wasiikumbuke kusudi kuilinda wakiamini ni tumaini lao la baadaye. Inafikishwa kwa mtu mmoja, ambaye hajulikani ndiyo ailinde. Hilo ni agano jingine, lililopelekea mauaji makubwa kwa aliyeijua siri ile.

Caractéristiques

  • Date de parution
    15/02/2024
  • Editeur
  • Collection
  • ISBN
    8223117155
  • EAN
    9798223117155
  • Format
    ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

À propos de l'auteur

Biographie de Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 

Du même auteur

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

3,49 €