Nouveauté

Ligi ya Mabilionea. Ligi ya Mabilionea, #1

Par : Hassan Mambosasa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8235179967
  • EAN9798235179967
  • Date de parution03/08/2026
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurIoakim Ioakim

Résumé

Uhasimu baina ya watu wawili wenye pesa na ushawishi mkubwa sana,  ndiyo ulikuja kugeuka na kuwa  maafa ambayo yalihusisha wengine ambao hawakutakiwa kuwepo. Vifo na hasara nyingine za kila namna zikaibuka baina ya watu wa wenye vipato vikubwa. Wapo ambao walikuwa ni wahanga wa uhasama huo, wakajikuta wakihisi huenda ni adui yake kibiashara aliyemfanyia unyama huo. akataka kujaribu kulipiza kisasi.
Akajikuta akimhusisha mwingine wala hakuwepo kutokana na kutokuwa makini. Mwishowe maadui wapya kuongezeka na wengine wenye adui mmoja kujikuta wakiungana dhidi ya mwingine. Ikawa ni LIGI YA MABILIONEA, Hujuma na usaliti vikiwemo humo mpaka ikavuta umakini wa wanausalama. Masalia ya maadui ndani ya visa viitwavyo GADI, RALOND NA DESMOND na SURA MBILI. Yakaja kuibuka huku waliyodhaniwa kuisha kubainika nao bado wapo.
Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 
Courier of Mogadishu
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
In The Crosshairs
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Ralond na Desmond
Ralond na Desmond
Hassan Mambosasa
E-book
3,99 €
Upepo
Upepo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Bazazi.
Bazazi.
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mkuu wa kaya
Mkuu wa kaya
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Mzandiki
Mzandiki
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
MILELE UTAISHI
MILELE UTAISHI
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ligi Ya Washenzi
Ligi Ya Washenzi
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Yako
Siku Yako
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mpasuko
Mpasuko
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi-3
Nsungi-3. NSUNGI, #3.3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Maji Marefu
Maji Marefu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Utazitapika
Utazitapika
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Ukomo
Ukomo
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Siku Ya Harusi
Siku Ya Harusi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Fright
Fright
Hassan Mambosasa
E-book
4,49 €
Fadhaa
Fadhaa
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €