Hassan Mambosasa

Dernière sortie

Ralond na Desmond

Ralond na Desmond wanamuziki na waigizaji pacha wa kitanzania, wanapitia changamoto kubwa baada ya kuwa maarufu mjini, uhasama baina yao na kundi la mabinti ambao wapo kwenye upande wa burudani unakuwa zaidi na kufikia kuwa vita zaidi. Genge la mabinti waliyo na uhasama ni sehemu ya mtandao wa madawa ya kulevya. Wenye kujulikana kuwa na ukwasi mkubwa mjini, ila nyuma yake ni wanajihusisha na biashara haramu.
Pia wanatumia uwepo wao huko na kumwigiza pacha mmoja kwenye mtandao huo. Pacha huyo anapambana na kuja kutoka salama na kupanga kusimulia mkasa aliyopitia. Hapo ndiyo waliyopo mtandao ule wa madawa hawakutaka litokee, bado wanausalama wa EASA wanaingia kazini kutokana na uchunguzi wao. Matokeo ni kugundulika kilichojificha nyuma ya mtandao mpana wa unga. 
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Les livres de Hassan Mambosasa

Sura Mbili
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Kasiba
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
B. A. B. U
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Tegre Solitario
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Lonely Tiger
Hassan Mambosasa
E-book
1,99 €
Jumba Bovu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Kisanga
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Pesa Zangu
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Ua Ama Ufe
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Popote Ulipo
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi 2
Hassan Mambosasa
E-book
2,49 €
Tarishi
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Nsungi 2
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Nsungi 2
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Gadi 2
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Nsungi-3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
NSUNGI-3
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Mhuni
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €
Gadi
Hassan Mambosasa
E-book
3,49 €
Shuhuda
Hassan Mambosasa
E-book
2,99 €