Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza. Elimu ya juu aliipata chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta. Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni.
Nouveauté
Ligi ya Mabilionea. Ligi ya Mabilionea, #2
Par :Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
, qui est-ce ?Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- FormatePub
- ISBN8235702394
- EAN9798235702394
- Date de parution03/08/2026
- Protection num.pas de protection
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurIoakim Ioakim
Résumé
Mwendelezo, Uhasimu baina ya watu wawili wenye pesa na ushawishi mkubwa sana, ndiyo ulikuja kugeuka na kuwa maafa ambayo yalihusisha wengine ambao hawakutakiwa kuwepo. Vifo na hasara nyingine za kila namna zikaibuka baina ya watu wa wenye vipato vikubwa. Wapo ambao walikuwa ni wahanga wa uhasama huo, wakajikuta wakihisi huenda ni adui yake kibiashara aliyemfanyia unyama huo. akataka kujaribu kulipiza kisasi.
Akajikuta akimhusisha mwingine wala hakuwepo kutokana na kutokuwa makini. Mwishowe maadui wapya kuongezeka na wengine wenye adui mmoja kujikuta wakiungana dhidi ya mwingine. Ikawa ni LIGI YA MABILIONEA, Hujuma na usaliti vikiwemo humo mpaka ikavuta umakini wa wanausalama. Masalia ya maadui ndani ya visa viitwavyo GADI, RALOND NA DESMOND na SURA MBILI. Yakaja kuibuka huku waliyodhaniwa kuisha kubainika nao bado wapo.