SOLDES

Jusqu'à -70% sur une sélection d'articles*

Tekeli: Hukumu za Mungu katika Maisha ya Kila Siku

Par : Msafiri J. Mwaikusa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8227467355
  • EAN9798227467355
  • Date de parution25/04/2025
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurBig Dog Books, LLC

Résumé

"Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?" Marko 12:24. Kutojua maandiko wala uweza wa Mungu ni tatizo kubwa sana kwa mwili wa Kristo. Na Yeremia 9:23, 24 inasema, "Bwana asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake; bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema Bwana".
Hapo Bwana Mungu amejitangaza kwamba yapasa watu wamfahamu na kumjua katika maeneo matatu, mtenda wema, hukumu na haki. Wakristo wengi wanajua na kuongelea sana kuhusu wema wa Mungu, na wengi pia wanaongelea suala la haki, hasa hasa kwamba tunahesabiwa haki kwa imani. Lakini ni wachache sana wanaomfahamu Mungu kama mtenda hukumu. Kama hujawahi kumfahamu Mungu kama mtenda hukumu siyo rahisi kuwa umemfahamu Mungu na uweza wake sawasawa, na hii imechangiwa na kutokufahamu maandiko hasahasa kwenye kipengele cha hukumu za Mungu.
Kwa sababu Yesu alisema kupotea kunatokana na kutojua maandiko wala uweza wa Mungu, basi ni vema ukatumia muda wako kusoma kitabu hiki kilichobeba uchambuzi wa maandiko kuhusu utendaji wa Mungu katika hukumu. Fundisho hili litaongeza kiwango chako cha kumcha Mungu. Barikiwa! 
Wakae Pamoja kwa Umoja
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €
Kweli Iliyofichika
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
1,99 €
Upako wa Kupata Utajiri
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €
Jina la Yesu Linaponya
Jina la Yesu Linaponya
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €
Kuukulia Wokovu
Kuukulia Wokovu
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
1,99 €
Desa la Maombi
Desa la Maombi
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €
Biblia Inasema Usiogope
Biblia Inasema Usiogope
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €
Mbinu za Kupata Mume Mwema
Mbinu za Kupata Mume Mwema
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €
How to Receive Money from God
How to Receive Money from God
Msafiri J. Mwaikusa
E-book
2,99 €