Mbinu za Kupata Mume Mwema - E-book - ePub

Note moyenne 
 Msafiri J. Mwaikusa - Mbinu za Kupata Mume Mwema.
Mbinu za Kupata Mume Mwema ni kitabu kilichoandikwa ili kumsaidia binti au mwanamke wa Kikristo ambaye yuko tayari kujihusisha na mahusiano na mwanaume... Lire la suite
2,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Mbinu za Kupata Mume Mwema ni kitabu kilichoandikwa ili kumsaidia binti au mwanamke wa Kikristo ambaye yuko tayari kujihusisha na mahusiano na mwanaume ili kuyakuza mahusiano na upendo wao hadi kufikia kufunga ndoa. Kitabu hiki kimeandikwa na mwanaume kwa hiyo kinakupa mbinu za kushinda changamoto za mahusiano- uchumba na ndoa, kutoka katika macho ya mwanaume. Ukisoma kitabu hiki utajua ni vitu gani ambavyo wanawake wanakosea katika mahusiano ya awali na uchumba na utajua ni mambo gani ufanye ambayo yatamfanya mwanaume akuone unafaa kuchumbiwa.
Kitabu hiki kinaongelea hatua za awali kuanzia mnakutana mara ya kwanza na anakuomba namba ya simu mpaka inafika anaamua kukuchumbia ni mbinu gani zitakutofautisha na mabinti wengine wenye sifa za kuchumbiwa na mtu huyo huyo unayetamani akuchumbie wewe. Kama unataka mwaka usiishe uwe umeshachumbiwa ingawa sasa hivi huna hata boyfriend basi soma kitabu hiki leo na ukiweke katika matendo.

Caractéristiques

  • Date de parution
    24/02/2023
  • Editeur
  • ISBN
    8215080757
  • EAN
    9798215080757
  • Format
    ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

À propos de l'auteur

Biographie de Msafiri J. Mwaikusa

MSAFIRI J. MWAIKUSA is an assistant pastor at a local Assemblies of God church in Dar es Salaam, Tanzania, where he lives with his wife, Tracy, and their children. He also hosts a weekly podcast named Biblia Inasema Usiogope which can be listened to through Radio Public, Google Podcast, Apple Podcast and other platforms. He holds a bachelor degree in Bible and Theology from the Global University of Springfield MO, U.
S. A;Msafiri has an MBA and business experience in food industry and publication. He also has a teaching experience from the University of Dar es Salaam where he obtained his Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology.

Du même auteur

Derniers produits consultés

2,99 €