Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu - E-book - ePub

Note moyenne 
 SHADRACK KIRIMI - Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu.
Mwongozo huu umetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kuwafaa wanafunzi na walimu katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali riwaya ya Chozi la Heri. Vipengele... Lire la suite
2,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Mwongozo huu umetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kuwafaa wanafunzi na walimu katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali riwaya ya Chozi la Heri. Vipengele hivi ni pamoja na ploti, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Ni mwongozo ambao unarahisisha uelewaji wa masuala yanayoonekana changamano na tata kwa kutoan msuko ulio sahili. Mwongozo huu ni wa kipekee kwa maana una maswali kadha ya kumchokonoa mwanafunzi. Isitoshe, maswali haya yametolewa majibu yenye hoja za kuridhisha.
Majibu haya yanalenga hasa matarajio ya watahini na mitindo mipya ya kutahini ambapo unapata mwanafunzi anahitajika kuandika hoja kumi na nne kujibu swali moja. Kuna aina mbalimbali za maswali. Kuna yale ya dondoo, ya kujadili pamoja na yale ya kuthibitisha kauli ama usemi fulani kutoka kwenye riwaya. Kwa kifupi, huu ni mwongozo wa aina yake ambao haumwonjeshi tu msomaji asali bali unampa fursa ya kuchovya moja  kwa  moja  ndani ya buyu lenyewe.

Caractéristiques

  • Date de parution
    28/03/2021
  • Editeur
  • ISBN
    978-1-393-48774-6
  • EAN
    9781393487746
  • Format
    ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

À propos de l'auteur

Biographie de SHADRACK KIRIMI

Shadrack Kirimi ni msomi, mwandishi na mtafiti wa Isimu na Fasihi ya Kiswahili. Ameandika makala na vitabu vya marudio kwa wanafunzi wa shule za upili vikiwa ni pamoja na Hadubini ya Lugha na Hadubini ya Fasihi na Uchambuzi wa Fasihi. Pia, ana tajriba pana katika utahini na kufundisha katika shule za sekondari.i

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

2,99 €