Amehitimu elimu ya chuo kikuu, na amehudumu kwa takribani miaka 25 ya kazi kusaidia wengine wafanikiwe akiwa katika nafasi ya mkuu wa idara. Katika kipindi hiki amehudumu kwenye makampuni matatu ya kimataifa. Hivyo anao uzoefu katika sekta ya kilimo biashara na usindikaji kwa miaka 7, wa kuzalisha vyakula na usambazaji kwa miaka 8, na uagizaji na uuzaji wa mafuta kwa takribani miaka 10. Kwa sasa ni mhudumu katika biashara ya kilimo cha matunda, na usambazaji huu wa vitabu.
Uumbaji wa Mtu
Par :Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub protégé est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
- Non compatible avec un achat hors France métropolitaine
, qui est-ce ?Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- FormatePub
- ISBN8227559371
- EAN9798227559371
- Date de parution23/08/2024
- Protection num.Adobe DRM
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurBig Dog Books, LLC
Résumé
Kitabu Uumbaji wa Mtu; kinaanzia na YAHWEH Katika Milele kuchambua yapi na vipi vilipelekea kuumbwa kwa ulimwengu, na hatimaye pawepo mahali wakati ambapo mtu angeweza umbwa na kuishi humo. Ndipo tunaonyeshwa Kuumbwa kwa Roho na Nafsi ya Mtu katika milele, kabla kabisa ya Kufanywa kwa Mwili Mme na Mke, kwa minajili ya mtu katika hali ya roho-nafsi ahifadhiwe humo. Mpango wa Ukombozi unaonyeshwa kama matokeo ya kuhakikisha uhitaji wa Mungu YAHWEH kuwa na familia unakamilika.
Na hili lilijulikana na kupangwa kabla ya uanguko wa mtu duniani. Hivyo tokea ufahamu huu, tunachungua kwa kina Tafsiri na Asili ya Uasi na Dhambi, na hususani Kudanganywa kwa Havaa (Eva) na Uafiki wa Adam. Kuhitimisha haya yote tunafanyia uhakiki Dhana ya Dhambi ya Asili. Pamoja na haya ni mengi mengine ya kushangaza na kustaajabisha kuhusu Uumbaji wa Mtu. Katika haya tunajibu sababu ya uwepo wako hapa duniani, na maalumu kabisa ni yapi ndiyo wajibu na majukumu yako kama mtu.
Na bila kupoteza muda tunafanyia mapitio nadharia kadhaa za uumbaji, kuthibitisha kweli ya maandiko matakatifu. Kitabu chafaa sana kwa Mafundisho ya kitaaluma.