Una ndoto kubwa? Swali ni hili... Je, una nidhamu ya kuitimiza?Watu wengi wana ndoto ya kua na maisha bora. Maisha yenye mafanikio zaidi. Pesa zaidi. Amani zaidi. Uhuru zaidi. Lakini ndoto pekee hazibadilishi maisha. Kinachobadilisha maisha ni nidhamu. Nidhamu ya Ndoto ni mwito wa uamsho kwa mtu yeyote ambaye amechoshwa na kuahirisha mambo, kupoteza muda, kuishi chini ya uwezo wake, au kutazama maisha yakisonga mbele huku ndoto zake zikibaki akilini tu. Kupitia mifano halisi, mafunzo ya vitendo, na ukweli usiojificha, kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya:.
Kuushinda uvivu na tabia ya kuahirisha mambo. Kujenga tabia zinazozalisha mafanikio. Kudhibiti muda na umakini wako. Kuondokana na visingizio vinavyokurudisha nyuma Hiki si kitabu cha kukuburudisha. Ni kitabu cha kukusukuma kuchukua hatua. Kwa sababu maisha unayoyaota hayajajificha kwenye bahati. Yamejificha ndani ya kazi unayoendelea kuikwepa. Ndoto zako zina thamani. Sasa ni wakati wa kuwa mtu anayezistahili.