Je, Umezaliwa upya kweli kwa Maji na kwa Roho? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

Par : Paul C. Jong
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8215406496
  • EAN9798215406496
  • Date de parution21/04/2024
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurWMG Publishing

Résumé

Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji.
Yohana Mbatizaji alikuwa ni mwakilishi wa wanadamu wote na wa uzao wa Kuhani Mkuu Haruni. Kuhani Mkuu Haruni aliiweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa kutubia makosa na kisha akazipitisha dhambi zote za mwaka mzima za Waisraeli katika huyo mbuzi wa kutubia makosa katika ile Siku ya Upatanisho. Tendo hilo ni kivuli cha mambo mazuri yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekewa mikono katika Mto Yordani.
Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo wake na alisulubiwa ili kulipa deni la dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno kuu katika kitabu hiki, na ni sehemu ya lazima katika Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa tena upya ikiwa tu tutauamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.

HIKMAT DARI INJIL SEDERHANA
Paul C. Jong
E-book
2,99 €