Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Par : , ,Formats :
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
- Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
- Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
- Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement
Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
- Nombre de pages15
- FormatePub
- ISBN978-87-26-27076-1
- EAN9788726270761
- Date de parution11/09/2019
- Protection num.Digital Watermarking
- Taille61 Ko
- Infos supplémentairesepub
- ÉditeurLUST
Résumé
"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja.
Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Mashavu yangu yakabubujika, na kama vile ninataka kujipoteza mwenyewe kwenye shughuli yangu, ghafla akasimama.
Akaangalia moja kwa moja kwangu kutoka upande mwingine wa bwawa. Mkono wangu uliganda katikati ya miguu yangu. Je, aliona kile nilichokuwa nakifanya? " Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.