SOLDES

Jusqu'à -70% sur une sélection d'articles*

Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu

Par : Charles Nakembetwa
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier
Disponible dans votre compte client Decitre ou Furet du Nord dès validation de votre commande. Le format ePub est :
  • Compatible avec une lecture sur My Vivlio (smartphone, tablette, ordinateur)
  • Compatible avec une lecture sur liseuses Vivlio
  • Pour les liseuses autres que Vivlio, vous devez utiliser le logiciel Adobe Digital Edition. Non compatible avec la lecture sur les liseuses Kindle, Remarkable et Sony
Logo Vivlio, qui est-ce ?

Notre partenaire de plateforme de lecture numérique où vous retrouverez l'ensemble de vos ebooks gratuitement

Pour en savoir plus sur nos ebooks, consultez notre aide en ligne ici
C'est si simple ! Lisez votre ebook avec l'app Vivlio sur votre tablette, mobile ou ordinateur :
Google PlayApp Store
  • FormatePub
  • ISBN8233453267
  • EAN9798233453267
  • Date de parution20/03/2026
  • Protection num.pas de protection
  • Infos supplémentairesepub
  • ÉditeurLinda Balsamo

Résumé

Je unajua kuwa kuna nguvu ya uovu isiyooneka inayopambana na wewe katika kila hatua ya maisha yako? Je unajua kuwa kuna nguvu imetumwa kuharibu maisha yako? Je unajua kuwa kuna nguvu zinazokuzuia usifanikiwe, kukuharibia mapito yako na kukusababishia mporomoko katika kila jambo unalolifanya? Kama utahitaji nikufungue macho yako na kuchukua hatua, unahitaji maarifa haya. Watu wengi wanafikiri wakiishi maisha ya uungwana bila kubughudhi watu au mamlaka basi watakuwa salama.
Sio kweli.2 Wathesalonike 2:7-8Maana ile nguvu ya siri ya uasi imekwisha anza kufanya kazi;Nguvu hii ya uovu kwa sehemu kubwa inatumia watu wenye mamlaka na wenye kutoa maamuzi na kutunga sheria zinazoeneza maovu. Watu wengi watafikiri ni watu wa wakawaida au viongozi wao wa kila siku, lakini ukweli ni kwamba ni roho za kuzimu yanayofanya kazi kuwatumia watu wenye mamlaka. Majira haya ndio yaliyotabiriwa kuwa yatatokea siku za mwisho, tatizo ni watu wa Mungu kutokufahamu majira na namna ya kumjua adui yao halisi na kumkabili ipasavyo. Kumbuka pia maandiko matakatifu yanasema chukizo la uharibifu litasimama, maana yake hata watu wazuri watageuzwa mioyo yao wafanye uovu na uharibifu bila kujua kama wanafanya kazi za shetani.
Badala ya kupambana na adui yao halisi watageuka na kupambana na ndugu zao. Adui shetani atafurahi sana kuona tunapigana sisi kwa sisi badala ya kumpiga adui. Watumishi wengi wa Mungu bado wanatoa ahadi za maisha ya utajiri wa dunia kana kwamba tutakaa milele hapa duniani. Lengo la kitabu hiki ni kuwaamsha watu wa Mungu na watu wa dunia hii, kwanza kumtambua adui wao kamili ili waache kupigana na vivuli.
Tatizo kubwa hata watu wa Mungu hawajui majira tuliyonayo na badala yake wanapambana kama watu wadunia hii.  Nakukaribisha msomaji ujifunze siri za kuishi na kushinda katika majira haya ya uovu mkuu.