SOLDES

Jusqu'à -70% sur une sélection d'articles*

Lioran

Dernière sortie

ZAIDI YA MTANDAO

ZAIDI YA MTANDAO ni kitabu kinachokupa mwanga namna ya kujenga biashara yako na namna ya kusaidia washiriki wako ( downlines ) ambao utakuwa umewasajili na kuwafundisha biashara. Pia kupitia kitabu hiki utajifunza hasa juu ya biashara ya mtandaoni na sababu zitakazokufanya au zinazokufanya uchague biashara ya mtandaoni na sio biashara nyingine yoyote ile. Pamoja na haya yote utajifunza namna ya kuepuka vikwazo wakati wa kutafuta washiriki waliobora na sehemu ya kuwapata hao washiriki unaowataka katika biashara yako ya mtandao.
Kubwa zaidi utaelewa kuwa biashara ya mtandaoni ni zaidi ya bidhaa kama wengine wanavyodhani au wanavyojua.
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Les livres de Lioran

ZAIDI YA MTANDAO
Lioran
E-book
5,49 €